Psalms 37:25-26


25 aNilikuwa kijana na sasa ni mzee,
lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa
au watoto wao wakiombaomba chakula.

26 bWakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti.
Watoto wao watabarikiwa.

Copyright information for SwhKC